Page 70 - Jiografia_Mazingira
P. 70
(ii) Ikiwa alama nyekundu kwenye rula imeishia kwenye namba
fulani katika skeli, namba hiyo inawakilisha umbali wa ardhi
kati ya kituo A na B.
(iii) ikiwa alama nyekundu iko katikati ya namba mbili, rekodi
namba ya kushoto na weka alama kwenye rula (3) kama
FOR ONLINE READING ONLY
inavyoonekana katika Kielelezo namba 11. Kwa mfano,
namba ya kushoto katika Kielelezo namba 11 ni Km 2
hivyo, utairekodi;
(iv) hamisha rula kwenda upande wa kushoto wa skeli, alama ya
kulia iwe sawa na sifuri (4) na alama ya kushoto iwe upande
wa kushoto wa skeli ya mstari (5) kama inavyoonekana
kwenye Kielelezo namba 11; na
(v) andika namba iliyo karibu zaidi na alama nyekundu ya
kushoto, kwa mfano, katika Kielezo namba 11 namba
itakayorekodiwa ni meta 750. Hivyo, umbali wa ardhini
kutoka pointi A hadi B ni Km 2 na Meta 750.
1000 (3)
Meta 500 0 1 2 3 Kilometa
1000 (5) (4)
Meta 500 0 1 2 3 Kilometa
Kielelzo namba 11: Kubadilisha umbali wa ramani kuwa umbali wa ardhi wakati
alama nyekundu ya kulia inayowakilisha kituo B iko kati ya
GSPublisherVersion 0.5.100.100
namba mbili kwenye kipimo cha mstari.
63
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 63 31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 63