Page 68 - Jiografia_Mazingira
P. 68
Kazi ya kufanya namba 4
Chunguza Kielelezo namba 8, kisha jibu maswali yanayofuata:
Ramani sahili ya Faidika
FOR ONLINE READING ONLY
Barabara ya umoja Barabara ya bwawani
B D E
Barabara ya faidika
C
A
Ufunguo
Mti
Barabara Barabara ya
Nyumba majengo
Bwawa
1000
Meta 500 0 1 2 Kilometa
GSPublisherVersion 0.4.100.100 Kielelezo namba 8: Barabara za mtaa wa Faidika
Maswali
Kwa kutumia kipande cha karatasi;
(a) Kokotoa umbali kutoka kituo B mpaka C.
(b) Kokotoa umbali kutoka kituo C mpaka E.
(c) Kokotoa umbali kutoka kituo A mpaka D.
(d) Kokotoa umbali kutoka kituo B mpaka E.
(e) Kokotoa urefu wa barabara ya Faidika kutoka kituo A hadi
kituo E.
2. Kwa kutumia rula
Zifuatazo ni hatua za kubaini umbali katika ramani kwa kutumia rula.
61
31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 61 31/10/2024 19:19
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 61