Page 63 - Jiografia_Mazingira
P. 63
Maswali
1. Shule ipo upande gani ukitokea nyumbani kwa Juma?
2. Je, nyumba ya David iko uelekeo gani kutokea nyumbani
kwa Mwajuma?
FOR ONLINE READING ONLY
3. Dereva Masanja atafuata uelekeo gani anapoendesha
kutoka Barabara ya Warioba kwenda mahakamani?
4. Utamuelekeza vipi rafiki yako kufika shule ya msingi
Songambele akitokea bustani iliyoko Kaskazini mwa
Barabara ya Warioba?
5. Nyumba ya David iko upande gani kutokea nyumbani kwa
Katherin?
Kutumia ramani kubaini umbali
Kazi ya kufanya namba 3
Chunguza Kielelezo namba 3, kisha jibu maswali yanayofuata:
Kielelezo namba 3: Mtaa wa Makuti
56
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 56
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 56 31/10/2024 19:18