Page 163 - CHINESE TEACHERS GUIDE
P. 163
高中教师汉语用书 一年级
复习练习
复习练习
FOR ONLINE READING ONLY
1. 引导学生听短文并进行口译
i. 引导学生做正确翻译
ii. 关于口译,注意语音、语调,使用正确语
法,选择恰当的词汇。
iii. 翻译文本跟原本必须有一致的意义
参考斯瓦西里语翻译
参考斯瓦西里语翻译
Baada ya kuhitimu elimu ya sekondari, nilikwenda Chuo
Kikuu cha Dodoma kujisajili kufanya mtihani wa umahiri
wa lugha ya Kichina ngazi ya tatu.Wakati huo, uwezo wangu
wa lugha ya Kichina ulikuwa chini sana, kwa hivyo niliamua
kuhudhuria darasa la mafunzo ya ziada. Mwalimu alituambia
njia na mikakati ya kufaulu mtihani. Alitupatia mazoezi mengi
na pia kutuhamasisha kwamba tunaweza kufaulu mtihani. Siku
ya mtihani, nilikuwa tayari na kila kitu kilikuwa kinakwenda
vizuri kabisa, sikua na woga hata kidogo. Nilipofanya mtihani,
niliona maswali yote yalikuwa rahisi sana, kwa hiyo nilitarajia
kupata alama nzuri. Lakini matokeo yalipo tangazwa mimi
sikufaulu. Mpaka leo, sijui nilikosea kitu gani, kwa hivyo
nawashauri wanafunzi wenza kwamba tunapaswa kuwa makini
sana tunapokua tunafanya mtihani.
参考英语翻译
参考英语翻译
After graduating from secondary school, I went to University
of Dodoma to sit for HSK Level 3. At that time, my Chinese
149
Teacher’s Guide Form Five
6/30/24 5:13 PM
Chinese Form 5 TG.indd 149
Chinese Form 5 TG.indd 149 6/30/24 5:13 PM