Page 5 - Historiayatznamaadili
P. 5
Shukurani
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua na kuthamini
FOR ONLINE READING ONLY
mchango muhimu wa washiriki kutoka taasisi mbalimbali za
umma na binafsi walioshiriki kufanikisha uandishi wa Kitabu
cha Mwanafunzi cha Historia ya Tanzania na Maadili, Darasa
la Nne. Kipekee TET inatoa shukurani kwa Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Dodoma, Chuo Kikuu Kishiriki
cha Jordan, Idara ya Uthibiti Ubora wa Shule, Vyuo vya Ualimu
na Shule za Msingi. Pia, TET inatoa shukurani za dhati kwa
mchango uliotolewa na washiriki wafuatao:
Waandishi: Dkt. Joyce J. Kahembe, Dkt. Victor Mtenga, Dkt
Evaristi Magoti, Bw. Godlove E. Siara, Bi. Warda
M. Ibrahimu na Bw. Christian J. Kivenule
Wahariri: Prof. Bertram B.B. Mapunda na Prof. Elgidius E.
B. Ichumbaki
Msanifu: Bi. Rehema A. Hamisi
Wachoraji: Bw. Fikiri A. Msimbe, Bw. Yohana P. Mwenda na
Bw. Gwakisa U. Mwandoloma
Mratibu: Dkt. Joyce J. Kahembe
Vilevile, TET inatoa shukurani kwa walimu wote wa shule za
msingi na wanafunzi walioshiriki katika ujaribishaji wa kitabu hiki.
Mwisho, TET inaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa kutoa fedha zilizofanikisha kazi ya uandishi na
uchapaji wa kitabu hiki.
Dkt. Aneth Komba
Mkurugenzi Mkuu
Taasisi ya Elimu Tanzania
iv
06/11/2024 11:29:24
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 4
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 4 06/11/2024 11:29:24