Page 5 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 5
Shukurani
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua na kuthamini mchango
muhimu wa washiriki kutoka taasisi mbalimbali za umma na binafsi
FOR ONLINE READING ONLY
zilizoshiriki kufanikisha uandishi wa kitabu hiki cha Sanaa na
Michezo. Kipekee TET inatoa shukurani kwa Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam (UDSM), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), idara
ya Uthibiti Ubora wa Shule, vyuo vya ualimu na shule za msingi.
Pia, TET inatoa shukurani za dhati kwa mchango uliotolewa na
wataalamu wafuatao:
Waandishi: Bw. Given A. Mbakilwa (TET), Bw. Mbezi S. Benjamin
(TET), Bi. Debora J. Mironjo (TET), Bw. Peter O.
Kazeni (TET), Bw. James Payovela (TET), Bw. Erick K.
Papian (UDSM) & Bw. Juma M. Masine (Dakawa TC)
Wahariri: Dkt. Cyprian N. Maro (UDSM), Dkt. Daines N. Sanga
(UDSM), Bw. Beatus J. Nsiima (OUT), Bw. Victor K.
Mutalemwa (SQA Tabora) & Bw. Aaron J. Mweteni
(SQA Morogoro)
Msanifu: Bw. Sultan A. Tamba
Wachoraji: Bw. Fikiri A. Msimbe (TET), Bw. Yohana P. Mwenda &
Bw. Gwakisa U. Mwandoloma
Mratibu: Bw. Given A. Mbakilwa (TET)
Vilevile, TET inatoa shukurani kwa walimu wote wa shule za msingi
na wanafunzi walioshiriki katika ujaribishaji wa kitabu hiki. Mwisho,
TET inaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kwa kuwezesha uandishi na uchapaji wa kitabu hiki.
Dkt. Aneth A. Komba
Mkurugenzi Mkuu
Taasisi ya Elimu Tanzania
iv
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 4
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 4 19/10/2024 16:35