Page 163 - SayansiStd4
P. 163

18.  Buruta na dondosha bloku ya ‘songa hatua’ kwenye eneo
                    la kuandikia. Kisha kiingize dani ya bloku ya ‘ikiwa basi’ na
                    ukiunge kwenye bloku ya ‘elekeza kwa mwelekeo’ kama
                    inavyoonekana katika Kielelezo namba 60.
          FOR ONLINE READING ONLY























                      Kielelezo namba 60: Bloku za elekeza kwa mwelekeo na songa
                                           hatua zikiwa zimeungwa

              19.  Bofya menyu ya bloku za ‘Kidhibiti’.

              20.  Buruta na  dondosha bloku  ya  ‘ikiwa  basi’ kwenye  eneo
                    la kuandikia. Kisha iunganishe ndani ya bloku ya ‘milele’

                    kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 61.
























                     Kielelezo namba 61: Bloku ya ikiwa basi imeungwa kwa mara ya
                                                       pili


                                                   156



                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   156                                  14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   156
   158   159   160   161   162   163   164   165   166   167   168