Page 167 - SayansiStd4
P. 167
(c) Sprite (Cat)
(d) Sprite (City Bus)
5. Bloku ipi utaitumia kumfanya Sprite aende kwa kuzunguka?
FOR ONLINE READING ONLY
(a) Matukio
(b) Sauti
(c) Kidhibiti
(d) Mwendo
6. Kundi lipi la bloku linamwongoza Sprite kwenda katika
mchezo?
(a) Opareta
(b) Mwendo
(c) Kidhibiti
(d) Hisi
7. Nini kitatokea katika Sprite iwapo namba zitaongezeka
katika bloku ya “enda kwa hatua”?
(a) Sprite ataenda kwa haraka
(b) Sprite atasimama
(c) Sprite atarudi nyuma
(d) Sprite atazunguka
8. Nini kitatokea kama utaweka bloku za maelekezo za
scratch katika mpangilio usio sahihi?
(a) Programu itaanza kazi taratibu
(b) Programu haitafanya kazi vizuri
160
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 160
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 160 14/01/2025 18:39