Page 168 - SayansiStd4
P. 168
(c) Programu itakatishwa
(d) Mwendo wa programu utaongezeka
Sehemu B: Oanisha neno la usimbaji katika sehemu A na
FOR ONLINE READING ONLY
maelezo katika sehemu B.
9.
Sehemu A Sehemu B
(i) Sauti (a) Kwenda au kusogeza au
kuzunguka au kubadili uelekeo
(ii) Matukio
(b) Kusimamisha mchezo
(iii) Kidhibiti
(c) Kutumia matendo na maelezo
(iv) Hisi
ya kihisabati kulingana na
(v) Opereta maelekezo
(vi) Mwendo (d) Kuendeleza mchezo
(e) Kuonesha au kucheza bloku
zilizoko kwenye mchezo
(f) Kucheza au kubadili au kuzima
sauti
(g) Kusubiri au kurudia kulingana
na maelekezo
(h) Kugusa kiteuzi cha kipanya au
rangi kulingana na maelekezo
Sehemu C:
10. Andaa programu inayoweza kucheza sauti na kumsogeza
Sprite kwa hatua 35.
11. Andaa programu itakayomwezesha Sprite atoe sauti na
kusogea kwa hatua 15, kisha programu hiyo ijirudie mara
12.
161
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 161
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 161 14/01/2025 18:39