Page 165 - SayansiStd4
P. 165

ya ‘ikiwa basi’ na uiunge kwenye bloku ya ‘elekeza kwa
                    mwelekeo’ kama inavyoonekena katika Kielelezo namba
                    63.


          FOR ONLINE READING ONLY

































                     Kielelezo namba 63: Bloku ya ikiwa basi imeungwa kwa mara ya

                                                       pili
              26.  Kucheza mchezo wako, bofya ‘Anza’. Kisha tumia kitufe
                    cha kwenda  juu na  kitufe  cha kwenda  kulia vilivyopo

                    kwenye kibodi ya kompyuta yako.

              27.  Unaweza badilisha hatua na nyuzi ili kuona mabadiliko ya

                    mwendo na uelekeo wa ‘Sprite’ (City bus).

















                                                   158



                                                                                            14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   158                                  14/01/2025   18:39
     SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd   158
   160   161   162   163   164   165   166   167   168   169   170