Page 166 - SayansiStd4
P. 166
Zoezi la marudio
Sehemu A: Chagua jibu sahihi
1. Ni aina gani ya maunzi laini unaweza kutumia kuunda
FOR ONLINE READING ONLY
michezo na hadithi?
(a) Scratch
(b) Sprite
(c) Paint
(d) Script
2. Kitu gani hutokea unapobonyeza bloku yenye bendera
ya kijani?
(a) Sikripti kuchezwa
(b) Kumwongoza Sprite katika uelekeo mhususi
(c) Kama vigezo ni sahihi bloku zilizondani zitachezwa
(d) Sikripti kusitishwa
3. Kitu gani hutokea unapobofya ‘enda kwa hatua 10’?
(a) Sprite kwenda unapobofya kifundo mahususi
(b) Sprite kwenda mbele
(c) Sprite kwenda nyuma
(d) Kuendelea kurudia
4. Paka katika Scratch anaitwaje?
(a) Sprite (Nyau)
(b) Sprite (Mnyama)
159
14/01/2025 18:39
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 159
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 159 14/01/2025 18:39