Page 5 - SayansiStd4
P. 5
Shukurani
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua na kuthamini
mchango muhimu wa washiriki kutoka taasisi mbalimbali za
serikali na zisizo za serikali zilizoshiriki kufanikisha uandishi
FOR ONLINE READING ONLY
wa kitabu hiki cha mwanafunzi. Kipekee, TET inatoa shukurani
kwa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE),
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Chuo Kikuu cha Sokoine
(SUA), Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU), Idara ya Uthibiti Ubora
wa Shule, Vyuo vya Ualimu na Shule za Msingi. Pia, TET inatoa
shukurani za dhati kwa mchango uliotolewa na wataalamu
wafuatao:
Waandishi: Dkt. Angela Rutakomozibwa, Bi. Irasaeny
Murro, Bi. Phorosia Makhanda na Bw. Joseph
Chamadali (TET), Dkt. Morice Tegeje (MU), Dkt.
Alex Nehemia (SUA), Bw. Mwanzo Lazaro (S/M
Mlimani) na Bw. Zephania Semeitei (MOTCO)
Wahariri: Dkt. Cyrus Rumisha (SUA), Dkt. Aldo Kitalika
(DUCE), Dkt. Almasi Maguya (MU), Dkt. Emmanuel
Sulungu na Dkt Fabiola Hassan (UDOM)
Msanifu: Bw. Katalambula Faraji
Mchoraji: Bw. Fikiri Msimbe (TET)
Mratibu: Bw. Joseph Chamadali (TET)
Vilevile, TET inatoa shukurani kwa walimu wote wa shule za
msingi na wanafunzi walioshiriki katika ujaribishaji wa kitabu
hiki. Mwisho, TET inaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kwa kutoa fedha zilizofanikisha kazi ya uandishi
na uchapaji wa kitabu hiki.
Dkt. Aneth A. Komba
Mkurugenzi Mkuu
Taasisi ya Elimu Tanzania
iv
14/01/2025 18:38
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 4
SAYANSI DARASA LA IV KITABU CHA MWANAFUNZI.indd 4 14/01/2025 18:38