Page 5 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 5

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


                                       Shukurani


           Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua  na kuthamini mchango
           muhimu wa washiriki kutoka taasisi mbalimbali za umma na binafsi
           FOR ONLINE READING ONLY
           walioshiriki kufanikisha uandishi wa kiongozi hiki cha mwalimu.
           Pia,  TET  inatoa  shukurani  za  dhati  kwa  mchango  uliotolewa  na
           wataalamu wafuatao:

           Waandishi:  Bi. Janeth G. Joseph na Bi. Monica W. Manyanga


           Wahariri:       Prof. Kulikoyela Kahigi na Dkt. Angelus J. Mnenuka

           Msanifu:      Bw Katalambula F. Hussein


           Mratibu:      Bi. Monica W. Manyanga






           Vilevile,  TET inatoa shukurani kwa walimu wote wa shule za
           sekondari walioshiriki katika ujaribishaji wa kitabu hiki. Mwisho, TET
           inaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa
           fedha zilizofanikisha kazi ya uandishi na uchapaji wa kitabu hiki.













           Dkt. Aneth A. Komba
           Mkurugenzi Mkuu

           Taasisi ya Elimu Tanzania




                 Kiongozi cha Mwalimu                                     v
                    Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   5     23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   5
   1   2   3   4   5   6   7   8   9   10