Page 7 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 7
Fasihi ya Kiswahili Shule za Sekondari
Sura ya
Kwanza Dhana na chimbuko la fasihi
FOR ONLINE READING ONLY
Utangulizi
Katika sura hii, mwanafunzi atajifunza juu ya dhana ya fasihi,
mitazamo mbalimbali ya dhana ya fasihi, na ubora na udhaifu wa
mitazamo hiyo. Vilevile, atajifunza juu ya nadharia za chimbuko la
fasihi. Baada ya kujifunza vipengele hivyo, ataweza kukuza uelewa
na kutathmini masuala ya kifasihi kwa jumla. Mwalimu utapata
baadhi ya mbinu zitakazokuwezesha katika ujenzi wa umahiri huu
kwa mwanafunzi.
• Shughuli za kutendwa na mwanafunzi
(a) Kufafanua dhana ya fasihi
(b) Kujadili nadharia za chimbuko la fasihi
Mahitaji: Mchoro wa sanaa na matawi yake, matini za kifasihi, kamusi,
chati ya alama za LAT
Somo la 1: Dhana ya fasihi
Shughuli ya 1.1 na 1.2
Hatua za ufundishaji
(i) Waongoze wanafunzi kufikiri juu ya umuhimu wa fasihi katika
maisha ya kila siku kwenye kipengele cha fikiri kilichomo
Kiongozi cha Mwalimu 1
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:48
FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd 1 23/06/2024 17:48
FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd 1