Page 88 - Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari Kiongozi cha Mwalimu Kidato cha Tano
P. 88

Fasihi ya Kiswahili  Shule za Sekondari


           Majibu
           Majibu ya shughuli ya 6.12 yatatokana na uelewa wa mwanafunzi na
           diwani  teule  atakazozichambua.  Katika  shughuli  hii,  ongoza  jopo  la
           tathimini kusahihisha kwa kuzingatia vigezo vilivyoandaliwa.
           FOR ONLINE READING ONLY

           Zingatia
           Kuwaelekeza wanafunzi kufanya kazimradi inayohusiana na uwanja wa
           fasihi na kuandika ripoti atakayoikusanya kwa ajili ya kusahihishwa.
           Kazi hii inaweza kufanyika wakati wa likizo kabla ya kuhitimu Kidato
           cha  Tano.  Kumbuka kazi  hii  ni ya  lazima  katika kukamilisha
           ujifunzaji wa somo hili.











































             82                                        Kiongozi cha Mwalimu
                                                          Kidato cha Tano



                                                                            23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   82    23/06/2024   17:48
     FASIHI YA KISWAHILI KIONGOZI  CHA MWALIMU KIDATO CHA TANO.indd   82
   83   84   85   86   87   88