Page 7 - EDK_F5
P. 7
VIFUPISHO
Vifupisho
A.S: Alayhis Salaam (Amani iwe juu yake)
FOR ONLINE READING ONLY
IEP: Islamic Education Panel
S.A.W: Swallallahu ‘Alayhi Wasallam (Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake)
S.W: Subhaanahu Wata’ala (Mtukufu Aliye juu)
R.A: Radhi’allaahu ‘Anhu (Radhi za Allah ziwe juu yake)
TEHAMA: Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
TET: Taasisi ya Elimu Tanzania
WyEST: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
NECTA: National Examinations Council of Tanzania
BAKWATA: Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania
EDK: Elimu ya Dini ya Kiislamu
TISTA: Tanzania Islamic Studies Teaching Association
H: Hijriyah - Miaka iliyoanza kuhesabiwa pale alipohama
Mtume Muhammad (S.A.W)
M: Miladiya - Miaka iliyoanza kuhesabiwa pale alipozaliwa Nabii Isa
v