Page 8 - EDK_F5
P. 8
UTANGULIZI
Shukurani
ifa zote njema anastahiki Allah (S.W) aliye Bwana Mlezi wa walimwengu wote.
Rehema na Amani zimwendee Mtume Muhammad (S.A.W) ahali zake pamoja na
FOR ONLINE READING ONLY
Swale wote waliofuata na wanaofuata mwenendo wake hadi siku ya mwisho.
Jumuiya ya Ufundishaji wa Masomo ya Kiislamu Tanzania (TISTA) inawashukuru wadau
wote walioshiriki katika kuandaa kitabu hiki cha Elimu ya Dini ya Kiislamu Kidato cha
Tano kuanzia hatua ya awali hadi kukamilika kwake.
TISTA inatoa shukurani za pekee kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia
Taasisi ya Elimu Tanzania kwa kutoa fedha kwa ajili ya kuandaa kitabu hiki.
TISTA inatoa shukurani za pekee kwa watu wafuatao, walioshiriki kuratibu, kuandika,
kuhariri, kuandaa michoro na kusanifu kitabu hiki:
Waratibu : Shafii H. Masudi (Chuo cha Ualimu Ubungo Islamic)
Ally A. Ally (BAKWATA), Khamis A. Mohammad (BAKWATA)
Waandishi : Dkt. Nawaje A. Mganga (Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait,
Zanzibar), Mfaume H. Nzogera, (Chuo cha Ualimu Korogwe),
Swabrudin B. Tibiita (Bagamoyo Professional College), Ali M. Hassan
(Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar), Saidi R. Mangi (Ubungo Islamic
High School.), Ally N. Mohamed (NECTA)
Wahariri: Dkt. Abdallah Y. Tego (Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro)
Dkt. Mohamed S. Same (Chuo cha Kiislamu Zanzibar)
Mchoraji: Omari M. Kwalo
Msanifu: Mohamed A. Maupa
Mohamed R Kassim
MWENYEKITI
Jumuiya ya Ufundishaji wa Masomo ya Kiislamu Tanzania (TISTA)
vi