Page 10 - Fasihi_Kisw_F5
P. 10
Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari
Shukurani
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua na kuthamini mchango muhimu
wa washiriki kutoka taasisi mbalimbali zilizoshiriki kufanikisha uandishi wa
kitabu hiki cha mwanafunzi. Kipekee TET inatoa shukurani kwa Chuo Kikuu
FOR ONLINE READING ONLY
cha Dodoma (UDOM), Chuo Kikuu cha Mtakatifu John’s (SJUT) na Chuo Kikuu
Mzumbe (MU). Pia, TET inatoa shukurani za dhati kwa mchango uliotolewa na
wataalamu wafuatao:
Waandishi: Prof. Fikeni E.M.K. Senkoro, Dkt. Athumani S. Ponera, Dkt Adria
N. Fuluge, Bw. Jailan M. Hafidh, Bi. Asia M. Akaro, Bi. Janeth G.
Joseph, na Bi. Monica W. Manyanga.
Wahariri: Prof. Kulikoyela Kahigi, Dkt. Angelus J. Mnenuka na Dkt.
Tumaini J. Sanga
Msanifu: Bw. Katalambula F. Hussein
Mchoraji: Bw. Hance E. Wawar
Mratibu: Bi. Monica W. Manyanga
Vilevile, TET inatoa shukurani kwa walimu na wanafunzi wote wa shule
za sekondari walioshiriki katika ujaribishaji wa kitabu hiki. Mwisho, TET
inaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha
zilizofanikisha kazi ya uandishi na uchapaji wa kitabu hiki.
Dkt. Aneth A. Komba
Mkurugenzi Mkuu
Taasisi ya Elimu Tanzania
Kitabu cha Mwanafunzi ix
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 9 23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 9