Page 169 - Historiayatznamaadili
P. 169
Msamiati
Jinai kitendo cha uhalifu au kinachohusisha uvunjaji wa
sheria za jamii au nchi fulani
FOR ONLINE READING ONLY
Nyaraka hati au maandishi ambayo yana taarifa au habari
fulani muhimu. Nyaraka hutumika kuhifadhi habari
au taarifa
Sarafu aina ya pesa yenye thamani iliyoidhinishwa kwa
matumizi halali ya kununua bidhaa au huduma
katika nchi fulani
Ziara kutembelea eneo fulani kwa ajili ya kufurahia,
kujifunza au kufanya shughuli fulani
162
06/11/2024 11:30:26
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 162
Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd 162 06/11/2024 11:30:26