Page 5 - Jiografia_Mazingira
P. 5
Shukurani
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua na kuthamini mchango
muhimu wa washiriki kutoka taasisi mbalimbali za serikali na zisizo
za serikali zilizoshiriki kufanikisha uandishi wa kitabu hiki cha
FOR ONLINE READING ONLY
mwanafunzi. Kipekee, TET inatoa shukurani kwa Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Dodoma, Idara ya Uthibiti Ubora wa
Shule, vyuo vya ualimu, pamoja na shule za msingi na sekondari.
Pia, TET inatoa shukurani za dhati kwa mchango uliotolewa na
wataalamu wafuatao:
Waandishi: Dkt. Zahor K. Zahor (UDSM), Dkt. Verdiana T.
Tilumanywa (UDSM), Bw. Dickson A. Kavishe
(UDSM), Bi. Blandina F. Ajali (TET), Bw. Karani
H. Mdee (TET), Bi. Neema A. Kashindye (TET),
Bw. Musa T. Mwalutanile (TET), Bi. Mariam
Japhet (TET), na Bi. Beatrice S. Rulenguka
(TET)
Wahariri: Dkt. Festo J. Ntensya (UDSM), Dkt. Mromba
Clement (UDSM), Dkt. Fredy Mswima (UDOM),
Bw. Frank Mahuve (UDOM), na Mwl. Michael
Sichundwe (Tusiime Sekondari)
Msanifu: Bw. Maulid M. Majaliwa
Wachoraji: Bw. Fikiri Msimbe na Bw. Hance E. Wawar
(TET)
Wachora ramani: Bw. Dickson A. Kavishe(UDSM) na Bw. Frank
Mahuve (UDOM)
Mratibu: Bi. Blandina F. Ajali (TET)
iv
31/10/2024 19:17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 4
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 4 31/10/2024 19:17