Page 6 - Jiografia_Mazingira
P. 6
Vilevile, TET inatoa shukurani kwa walimu wote wa shule za msingi
na wanafunzi walioshiriki katika ujaribishaji wa maudhui ya kitabu hiki.
Mwisho, TET inatoa shukurani za kipekee kwa Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha zilizofanikisha kazi ya
uandishi na uchapaji wa kitabu hiki.
FOR ONLINE READING ONLY
Dkt. Aneth A. Komba
Mkurugenzi Mkuu
Taasisi ya Elimu Tanzania
v
31/10/2024 19:17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 5 31/10/2024 19:17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 5