Page 11 - Jiografia_Mazingira
P. 11
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 2: Mipaka ya Tawala za mikoa
Ramani za barabara na reli
Ramani hizi zinatoa taarifa muhimu kuhusu mitandao ya barabara
na reli, kama vile; barabara kuu, na za Mitaa, na alama muhimu za
eneo fulani, kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 3. Pia,
4
31/10/2024 19:17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 4
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 4 31/10/2024 19:17