Page 14 - Jiografia_Mazingira
P. 14
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 4: Mtawanyiko wa watu katika Mkoa wa Tabora
Ramani za hali ya hewa
Ramani hizi zinaonesha mtawanyiko wa hali ya hewa katika eneo
fulani. Zinaonesha vipengele vya hali ya hewa kama vile; joto, mvua,
upepo, unyevu-anga, na mgandamizo wa hewa unavyotofautiana
kati ya eneo moja na lingine. Ramani hizi ni muhimu kwa shughuli za
kilimo, biashara, utalii na usafirishaji. Kielelezo namba 5 kinaonesha
mtawanyiko wa mvua katika mkoa wa Iringa.
7
31/10/2024 19:17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 7
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 7 31/10/2024 19:17