Page 19 - Jiografia_Mazingira
P. 19
(f) Mistari ya gridi: ni mistari inayogawanya ramani katika miraba.
Mistari hii inakusaidia kupata maeneo mahususi kwenye ramani.
Kila mraba una namba au herufi inayokusaidia kupata vitu kwa
urahisi;
(g) Chanzo: Kinaelezea mahali palipotumika kupata taarifa
FOR ONLINE READING ONLY
zilizowasilishwa kwenye ramani. Chanzo kinaweza kuwa shirika
au taasisi ya kiserikali au isiyo ya kiserikali. Kuonesha chanzo
cha ramani husaidia kuthibitisha usahihi wake na kuwawezesha
watumiaji wengine kuirejelea katika kazi zao. Kielelezo namba
8 kinaonesha vipengele muhimu vya kuzingatia katika ramani.
Kielelezo namba 8: Vipengele muhimu vya ramani
12
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 12
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 12 31/10/2024 19:18