Page 24 - Jiografia_Mazingira
P. 24
(b) Kwa kuonesha mipaka ya kiutawala.
(c) Kwa kuonesha uelekeo wa mahali.
(d) Kwa kuonesha umbali kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
7. Ni jinsi gani ramani zinaweza kuwa chanzo cha mapato ya
FOR ONLINE READING ONLY
serikali?
(a) Kutoa mwongozo wa maeneo ya vivutio kwa watalii.
(b) Kuonesha maeneo yenye barabara za kisasa.
(c) Kusaidia watu kupata huduma za afya.
(d) Kuonesha maeneo ya sherehe na burudani.
Sehemu B:
8. Oanisha maneno yaliyopo safu A na yale ya safu B kupata
maana kamili.
Na. Safu A Safu B
(a) juu ya karatasi, ardhi, kitambaa na
i. Ramani ya topografia
kompyuta
(b) huwakilisha maumbo ya uso wa
ii. Fremu
dunia
(c) uhusiano wa umbali uliowasilishwa
Vipengele muhimu
iii. katika ramani na umbali halisi uliopo
katika ramani
katika ardhi
(d) skeli, fremu, uelekeo wa Kaskazini,
iv. Skeli kichwa cha ramani, ufunguo, chanzo
na mistari ya gridi
Sehemu ambapo
v. ramani inaweza (e) kuonesha mpaka wa ramani husika
kuchorwa
(f) isomeke kwa urahisi kwa watumiaji
wa ramani husika
17
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 17 31/10/2024 19:18