Page 23 - Jiografia_Mazingira
P. 23

(d) Uwakilishwaji wa vitu vilivyomo kwenye uso wa dunia kwa
                kutumia mistari ya gridi.

          2.  Aina gani ya ramani huonesha maumbo ya asili na maumbo
              yaliyotengenezwa na binadamu?

        FOR ONLINE READING ONLY
            (a) Ramani za topografia.
            (b) Ramani za kisiasa.

            (c)  Ramani za kiuchumi.

            (d) Ramani za thematiki.

          3.  Ipi kati ya zifuatazo ni sifa mojawapo ya ramani?

            (a) Kuwa na rangi nyingi.

            (b) Kuwa na alama nyingi za kuvutia.

            (c)  Kusomeka na kutafsiriwa kwa urahisi.

            (d) Kuwa na maneno mengi ya kisayansi.

          4.  Ramani zina umuhimu gani katika maisha ya binadamu?

            (a) Kupata utaalamu.

            (b) Kusaidia kuonesha alama mbalimbali zinazotumika katika
                ramani.

            (c)  Kuonesha mahali ambapo rasilimali muhimu za nchi zinapatikana.

            (d) Kuonesha uwezo wa kuchora ramani.

          5.  Jinsi gani ramani zinaweza kusaidia wakati wa dharura?

            (a) Kwa kuonesha jinsi moto unavyowaka.

            (b) Kuelekeza namna majanga yanavyotokea.

            (c)  Kusaidia timu za uokoaji kubaini uelekeo sahihi wa eneo la
                tukio.

            (d) Kusaidia timu za waokoaji kuzima moto.

          6.  Ramani inawezaje kusaidia kutatua migogoro ya ardhi?

            (a) Kwa kuonesha mtawanyiko wa watu.




                                                 16



                                                                                          31/10/2024   19:18
   JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd   16
   JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd   16                                           31/10/2024   19:18
   18   19   20   21   22   23   24   25   26   27   28