Page 28 - Jiografia_Mazingira
P. 28
Ulipochora mchoro wako bila shaka mchoro huo ulifanana na alama
ya kujumlisha. Mchoro huo unawakilisha Pande Kuu za Dunia,
kama inavyooneka katika Kielelezo namba 1.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 1: Pande Kuu za Dunia
Zoezi la kwanza
Jibu maswali yafuatayo:
1. Asubuhi jua linachomoza kutoka upande gani?
2. Ukitazama uelekeo wa Jua linakochomoza, kushoto kwako
kutakuwa ni upande gani?
3. Endapo utasimama kwa kuelekeza mgongo upande wa Jua
linakochomoza, ni upande gani wa dunia utakuwa:
(a) Kushoto kwako.
(b) Kulia kwako; na
(c) Mbele yako.
21
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 21
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 21 31/10/2024 19:18