Page 25 - Jiografia_Mazingira
P. 25
(g) hufafanua alama na ishara
zilizotumika katika ramani
C: Maswali ya majibu mafupi:
FOR ONLINE READING ONLY
9. Ramani inapaswa kuwa na sifa zipi? Zitaje kwa kutoa mifano.
10. Ni kwa namna gani ramani za topografia zinatofautiana na
ramani za mipango miji?
Msamiati
tukio la ghafla linalohitaji msaada wa haraka, kama
Dharura
moto au mafuriko
mwonekano wa sehemu fulani juu ya ardhi, kama
Mandhari
milima, mabonde, na mito.
mpangilio wa nyumba, barabara, na huduma za
Mipango miji
jamii katika miji au vijiji
Mtandao wa mpangilio wa barabara au reli unaoziunganisha
barabara na sehemu mbalimbali.
reli
vitu muhimu vinavyopatikana mahali kama vile maji,
Rasilimali
madini, na misitu
kazi ya kutafuta ukweli au habari mpya kuhusu
Utafiti
jambo fulani ili kulielewa zaidi na kulitolea maelezo.
18
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 18 31/10/2024 19:18