Page 20 - Jiografia_Mazingira
P. 20
Kazi ya kufanya namba 2
Chunguza Kielelezo namba 9, kisha jibu maswali yanayofuata:
A
FOR ONLINE READING ONLY
B
Barabara ya
Msikitini
110
100 120 130
Mto M a v u n o
100
Barabara 120 110
ya Kanisani
Barabara ya Ujamaa
Barabara ya
Mwendapole
C
D
Kielelezo namba 9: Kijiji cha Mwendapole
GSPublisherVersion 0.4.100.100
Maswali
1. Eleza mapungufu uliyobaini katika Kielelezo namba 9.
2. Bainisha vipengele muhimu vya ramani vilivyopaswa kuwekwa
katika herufi A, B, C na D, kisha eleza umuhimu wa kila kipengele
ulichobaini.
3. Bainisha aina ya ramani iliyowakilishwa katika kielelezo namba 9.
13
31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 13 31/10/2024 19:18
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 13