Page 17 - Jiografia_Mazingira
P. 17
Na. Mtu Aina ya ramani
1. Mjenzi
2. Dereva
FOR ONLINE READING ONLY
3. Mtalii
4. Mkulima
Kazi ya kufanya namba 1
Chunguza Kielelezo namba 7, kisha jibu maswali yanayofuata:
Kielelezo namba 7: Aina za ramani
1. Bainisha aina za ramani A, B, C na D kama zilivyowasilishwa
kwenye Kielelezo namba 7.
2. Bainisha ramani za thematiki na ramani za jumla katika Kielelezo
namba 7.
10
31/10/2024 19:17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 10
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 10 31/10/2024 19:17