Page 16 - Jiografia_Mazingira
P. 16
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 6: Ramani ya mipango miji
Zoezi la tatu
1. Kwa nini ramani za thematiki zinaweza kutofautiana sana
hata kama zinaonesha eneo moja?
2. Iwapo kuna dharura ya moto katika mtaa wako, ni aina gani
ya ramani ungetumia kuwaelekeza wataalamu wa kuzima
moto kufika eneo hilo?
3. Chunguza jedwali lifuatalo, kisha pendekeza aina ya ramani
inayoweza kutumiwa na watu wafuatao.
9
31/10/2024 19:17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 9
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 9 31/10/2024 19:17