Page 15 - Jiografia_Mazingira
P. 15
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 5: Mtwanyiko wa mvua Mkoa wa Iringa
Ramani za mipango miji
Ramani hizi zinaonesha mpangilio wa miji na vijiji kwa ajili ya makazi
na huduma za kijamii. Kwa mfano, mpangilio wa nyumba, maduka,
shule, hospitali na barabara, kama inavyoonekana katika Kielelezo
namba 6. Ramani hizi hutumiwa zaidi na maafisa ardhi na mipango
miji.
8
31/10/2024 19:17
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 8
JIOGRAFIA NA MAZINGIRA DARASA LA 4.indd 8 31/10/2024 19:17