Page 80 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 80
3. Kamilisha sentensi zifuatazo kwa kujaza nafasi zilizoachwa
wazi.
(a) Sauti yenye kipimo maalumu na ubora
huitwa…………………………
FOR ONLINE READING ONLY
(b) Jambo mojawapo la kuzingatia unapofanya mashindano
ya sarakasi ni ..………...
(c) Aina ya picha zinazochorwa kwa kutumia mistari tu
huitwa………………………
(d) Wanafunzi wa Darasa la Nne waliimba wimbo wa
uzalendo kwa sauti ya msingi na sauti ya pili tu. Je uimbaji
huu huitwaje? ……………………
(e) Umbo linalojirudia katika sanaa ya uchoraji
huitwa………………………………
4. Soma sentensi zifuatazo kisha andika KWELI kama sentensi ni
sahihi na SIKWELI kama sentensi siyo sahihi.
(a) Maumbo ya ukumbi hufinyangwa kwa njia ya
pindi....…………………..
(b) Katika sanaa ya uchoraji sio lazima kuandaa vifaa vya
kuchorea………………………
(c) Mazoezi ya viungo husaidia kukuza ari ya ushindani
miongoni mwa wachezaji ………………………..
(d) Sarakasi ni aina ya michezo ya asili…………………..
(e) Koni ni kifaa cha plastiki kinachotumika kwenye michezo
ya kisasa………….
73
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 73
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 73 19/10/2024 16:35