Page 76 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 76
9. Cheza kwa kuzingatia sheria za michezo husika;
10. Cheza mchezo wa kiungwana; na
11. Epuka ugomvi na lugha mbaya miongoni mwa wachezaji.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Namba 4: Wanafunzi wakishiriki mashindano ya sarakasi
Kazi ya kufanya namba 4
(a) Shiriki mashindano ya mchezo wa mbio za magunia;
(b) Shiriki mashindano ya mchezo wa kukimbiza kuku; na
(c) Shiriki mashindano ya mchezo wa sarakasi.
69
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 69
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 69 19/10/2024 16:35