Page 72 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 72
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Namba 2: Maonesho ya sanaa sanifu
Kazi ya kufanya namba 2
Andaa onesho la picha zilizochorwa na vitu vilivyofinyangwa.
Maonyesho ya uimbaji
Maonyesho ya uimbaji hutoa fursa kwa waimbaji kuonesha uwezo
wao wa kuimba mbele ya hadhira. Maonyesho haya hufanyika
kwenye eneo maalumu lililoandaliwa. Washiriki hujumuika pamoja
kuona vikundi vya uimbaji vikiimba nyimbo maalum zilizoandaliwa.
Vilevile, maonyesho haya yanashirikisha mwimbaji mmoja mmoja
au kikundi. Maonyesho haya huwa na lengo la kuelimisha,
kuburudisha, kukuza vipaji na kufikisha ujumbe kwa hadhira. Watu
wengi hupenda kuhudhuria maonyesho haya ili kufurahia sauti
65
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 65
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 65 19/10/2024 16:35