Page 67 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 67

Kazi ya kufanya namba 5


           (a)  Shirikiana na wenzako katika kikundi kucheza michezo ya

                 kujenga hanamu uliyojifunza; na
           (b)   Shirikiana  na wenzako katika kikundi kubuni maumbo
        FOR ONLINE READING ONLY
                 mbalimbali ya sarakasi na kufanya onesho shuleni.




             Zoezi la tatu


            1.  Je, umejisikiaje ulipocheza michezo ya kisasa?
            2.  Ni mchezo upi wa sarakasi ulikufurahisha zaidi?

            3.  Changamoto  gani uliipata  wakati wa kucheza michezo ya
               sarakasi?
            4.  Kati ya nguvu, usahihi na ujasiri ni kipi kinahitajika zaidi katika
               mchezo wa sarakasi? Toa sababu ya jibu lako.



          Msamiati


          Bonanza  Tamasha la michezo


          Kaa          Mnyama wa baharini mwenye miguu minane na mwili
                       wa bapa la duara lenye gamba na anayepatikana
                       katika ukubwa mbalimbali baharini na katika maji baridi

          Koo          Kuku jike

          Tamasha  Mambo yanayofanywa ili kusherehekea tukio zuri






















                                                 60




                                                                                          19/10/2024   16:35
   SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd   60
   SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd   60                                                   19/10/2024   16:35
   62   63   64   65   66   67   68   69   70   71   72