Page 64 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 64
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Na 6: Mwanafunzi akitembea kwa mikono
5. Anza kutembea kwa mikono kwenda mbele, nyuma, kulia na
kushoto; na
6. Unaweza kufanya mbwembwe wakati unatembea.
Kazi ya kufanya namba 4
Fanya mazoezi ya kusimama na kutembea kwa mikono bila
usaidizi wa mwenzako au ukuta.
Kujenga hanamu
Hapa mchezaji utatakiwa kushirikiana na wenzako kuunda maumbo
mbalimbali kwa kutumia miili yenu. Maumbo hayo ni kama vile:
1. Kuinuka na kuinuliwa kwa mikono, kama inavyoonekana katika
Kielelezo namba 7;
57
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 57
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 57 19/10/2024 16:35