Page 66 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 66
3. Kubebana kwa kutumia machela ya miti, kama inavyoonekana
katika Kielelezo namba 9; na
4. Kusimama kwenye mapaja na mabega, kama inavyoonekana
katika Kielelezo namba 10.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Na 9: Wanafunzi wakiwa wamembeba mwenzao kwa
kutumia machela ya miti.
Kielelezo Na 10: Wanafunzi watatu wakiwa wametengeneza umbo kwa
kubebana.
59
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 59
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 59 19/10/2024 16:35