Page 62 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 62
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo Na.3: Mwanafunzi akiwa amelala chali kwa ajili ya kuubeba mwili
wake
3. Sukuma mwili wako juu kwa msaada wa miguu na mikono,
kama inavyoonekana katika Kielelezo namba 4;
4. Weka kichwa nyuma wakati wote;
5. Weka miguu karibu kuepuka kupoteza msawazo wa mwili;
Kielelezo Na 4: Mwanafunzi akiwa amejiinua kwa kutumia miguu na mikono.
6. Bila kubadili mkao tembea kwenda mbele kisha rudi nyuma;
nenda kushoto kisha kulia.
Kazi ya kufanya namba 3
Fanya mashindano ya kutembea mwendo wa kaa na wenzako.
55
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 55
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 55 19/10/2024 16:35