Page 73 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 73
nzuri za waimbaji, ala za muziki, miondoko ya waimbaji na ujumbe
wa nyimbo mbalimbali. Kielelezo namba 3 kinaonesha waimbaji
wakifanya onyesho la jukwaani.
FOR ONLINE READING ONLY
Kielelezo namba 3: Waimbaji wakiimba jukwaani
Mambo ya kuzingatia wakati wa kushiriki maonyesho ya uimbaji
Wakati wa kushiriki katika maonyesho ya uimbaji zingatia mambo
yafuatayo:
1. Andaa kanuni za maonyesho;
2. Chagua wimbo kwa ajili ya onyesho. Unashauriwa kuchagua
66
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 66
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 66 19/10/2024 16:35