Page 77 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 77
Msamiati
Ari Juhudi anazoonesha mtu katika kutekeleza
jambo
FOR ONLINE READING ONLY
Maonesho ya sanaa Onesho la hadharani la kazi za sanaa
kama vile uchoraji, ufinyanzi na picha ili
kutazamwa na hadhira
Maonyesho ya sanaa Yanahusisha kufikisha ujumbe fulani kwa
hadhira kupitia muziki, uigizaji au kucheza
70
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 70
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 70 19/10/2024 16:35