Page 79 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 79
(b) Kufanya mazoezi ya kutoa sauti tofauti za maneno.
(c) Kuiga sauti ya watu maarufu.
(v) Kwa nini ni muhimu kwa mwimbaji kufahamu maana ya
maneno anayoimba?
FOR ONLINE READING ONLY
(a) Ili aweze kutumia ala za muziki vizuri.
(b) Ili aweze kutamka maneno kwa hisia zinazofaa.
(c) Ili aweze kuimba kwa taratibu.
(vi) Je, ni madhara yapi unaweza kuyapata usipojiandaa vizuri
kabla ya kushiriki mashindano ya michezo?
(a) Kupata upendeleo unaopelekea rushwa.
(b) Kucheza bila kukosea na hivyo kuwa mshindi.
(c) Utajiamini zaidi katika kucheza na kupata medali.
2. Jibu vipengele (i)-(iv), kwa kuoanisha vifaa katika Orodha A na
matumizi yake katika Orodha B.
Orodha A Orodha B
(i) Koni (a) Kucheza sarakasi
(ii) Kipenga (b) Kucheza mchezo wa asili
(iii) Mkeka wa (c) Kuweka alama wakati wa mazoezi
mazoezi
(iv) Gunia (d) Kutoa amri wakati wa kucheza
72
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 72
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 72 19/10/2024 16:35