Page 78 - Sanaa_Michezo_Drs_4
P. 78
Jaribio
Jibu maswali yote.
1. Jibu kipengele (i) hadi (v) kwa kuchagua herufi ya jibu sahihi.
FOR ONLINE READING ONLY
(i) Ni kitu gani mwimbaji anatakiwa kuzingatia wakati wa
kuimba ili kupata toni sahihi?
(a) Kufunga mdomo wakati wa kuimba.
(b) Kufungua mdomo vizuri wakati wa kuimba.
(c) Kuimba bila kuzingatia kasi ya wimbo.
(ii) Ni tungo ipi kati ya zifuatazo ni sahihi kuhusiana na uimbaji
wa sauti mbili?
(a) Sauti ya pili inakuwa juu ya sauti ya kwanza.
(b) Sauti ya pili inakuwa chini ya sauti ya kwanza.
(c) Sauti ya pili inakuwa sambamba na sauti ya kwanza.
(iii) Ni njia ipi hutumika kufinyanga vifani vyenye maumbo ya
vimo virefu?
(a) Bapa
(b) Kufinyafinya
(c) Pindi
(iv) Ni mazoezi gani kati ya yafuatayo ambayo mwigizaji
anaweza kuyafanya ili kuwasilisha hisia na sauti kwa
urahisi?
(a) Kupumua kwa nguvu na kasi.
71
19/10/2024 16:35
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 71
SANAA NA MICHEZO BALANCING.indd 71 19/10/2024 16:35