Page 7 - Historia_Maadili
P. 7
Shukurani
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inatambua na kuthamini mchango muhimu wa
washiriki kutoka taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali zilizoshiriki
FOR ONLINE READING ONLY
kufanikisha uandishi wa kitabu hiki cha mwanafunzi. Kipekee, TET inatoa shukurani
kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Dodoma, Chuo Kikuu cha
Taifa cha Zanzibar, Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika na Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Vilevile, TET inatoa shukurani za dhati kwa mchango uliotolewa na wataalamu
mbalimbali kama ifuatavyo:
Waandishi: Dkt. Jerome S. Machange, Bw. Bonaventura A. Bazira, Bw. Gwido
Kalobona na Bi. Sophia J. Amasi
Wahariri: Dkt. George K. Ambindwile, Dkt. Abdallah R. Mkumbukwa na
Dkt. Valerius W. Mjuni
Msanifu: Bi. Rehema A. Hamisi
Mchoraji: Bw. Hance E. Wawar
Mratibu: Dkt. Jerome S. Machange
Aidha, TET inatoa shukurani kwa walimu wote wa shule za sekondari walioshiriki
katika ujaribishaji wa kitabu hiki. Mwisho, TET inaishukuru Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa rasilimali fedha iliyofanikisha uandishi na
uchapaji wa kitabu hiki.
Dkt. Aneth Komba
Mkurugenzi Mkuu
Taasisi ya Elimu Tanzania
vii
03/10/2024 18:15:05
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 7
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 7 03/10/2024 18:15:05

