Page 108 - Historia_Maadili
P. 108
Kazi ya kufanya 6.4
Kwa kutumia vifaa vya TEHAMA, sikiliza hotuba kuhusu Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar mwaka 1964, kisha jibu maswali yafuatayo:
FOR ONLINE READING ONLY
1. Umejifunza nini kutokana na hotuba uliyosikiliza?
2. Je, viongozi wa sasa wanaweza kujifunza nini kutoka kwa Mapinduzi ya
mwaka 1964 katika kuzilinda na kuzitetea haki za raia?
Zoezi la marudio
1. Kwa kutumia mifano, jadili sababu za kufanyika kwa Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
2. Ni kwa nini uhuru wa Desemba 10 mwaka 1963 wa Zanzibar uliitwa uhuru
wa bandia?
3. Jadili athari za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika muundo wa kijamii
na kisiasa wa Zanzibar.
4. Fafanua maadili yaliyojengwa kutokana na Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
5. Ni kwa namna gani Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yamechochea
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?
6. Eleza mchango wa vyama vya michezo katika Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
7. Pendekeza njia mbalimbali zinazoweza kutumiwa katika kulinda Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
100
03/10/2024 18:15:20
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 100
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 100 03/10/2024 18:15:20

