Page 105 - Historia_Maadili
P. 105
wa kitaifa. Mapinduzi ndiyo yalifungua njia ya utambulisho wa taifa linaloongozwa
kwa misingi ya uhuru, haki na demokrasia. Ili kufanikisha azma hii, mnamo tarehe
21 Januari 1964, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume, alitangaza wajumbe 29 wa
Baraza la Kwanza la Mapinduzi Zanzibar. Baraza hili lilikuwa na jukumu la kuunda
upya taifa lenye umoja, haki na kuondoa ubaguzi uliokuwa umeota mizizi kwa miaka
FOR ONLINE READING ONLY
mingi visiwani Zanzibar. Kielelezo 6.3 kinaonesha wajumbe wa Baraza la Kwanza
la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Kielelezo 6.3: Baraza la Kwanza la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka 1964
97
03/10/2024 18:15:20
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 97
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI F2.indd 97 03/10/2024 18:15:20

