Page 139 - English_Form_3
P. 139

Mwezi                   Tukio/Matukio                      Maelezo/wahusika
        Machi        Mitihani ya nusu muhula               •  Mwalimu wa taaluma
                                                           •  Walimu wa masomo
          FOR ONLINE READING ONLY
                     Ukaguzi shajara za masomo             •  Mkuu wa shule
                                                           •  Mwalimu wa taaluma
                                                           •  Wakuu wa idara
        Aprili       Likizo fupi                           •  Wanafunzi
                     Uchaguzi wa viongozi wa serikali ya   •  Kamati ya uchaguzi
                     wanafunzi                             •  Walimu
                                                           •  Wapiga kura
                                                           •  Wagombea
                     Majaribio                             •  Walimu wa masomo
                                                           •  Mwalimu wa taaluma
                                                           •  Wanafunzi
        Mei          Mashindano ya kitaaluma na michezo    •  Makamu mkuu wa shule
                                                           •  Mwalimu wa taaluma
                                                           •  Mwalimu wa michezo
                                                           •  Wawakilishi
                     Mitihani ya muhula wa kwanza          •  Mwalimu wa taaluma
                                                           •  Walimu wa masomo
                                                           •  Wanafunzi
        Juni         Kutoa matokeo ya mitihani na kufunga   •  Walimu na wanafunzi wote
                     shule kwa ajili ya likizo ya mwezi Juni
        Julai        Kufungua shule, muhula wa pili        •  Walimu na wanafunzi
                     Vikao vya kamati mbalimbali za shule    •  Wajumbe wa kamati
        Agosti       kikao cha bodi ya shule na wazazi     •  Wajumbe wa bodi
                                                           •  Walimu
                                                           •  Wazazi
                     Kuwasilisha shajara za masomo na      •  Mkuu wa shule
                     kukagua nukuu za masomo               •  Mwalimu wa taaluma
                                                           •  Wakuu wa idara
                                                           •  Walimu wa masomo

                                                           •  Mwalimu wa taaluma
                                                           •  Walimu wa masomo
                     Mitihani ya nusu muhula wa pili       •  Wanafunzi


        Septemba     Likizo fupi                           •  Wanafunzi





           English for Secondary Schools                              Student’s Book Form Three
                                                  132



                                                                                          17/09/2025   16:34:47
     ENGLISH F3 PB.indd   132
     ENGLISH F3 PB.indd   132                                                             17/09/2025   16:34:47
   134   135   136   137   138   139   140   141   142   143   144