Page 138 - English_Form_3
P. 138

(c) Translate the following school calendar into English.


                                        Shule ya Sekondari Naunau
          FOR ONLINE READING ONLY
                                 Kalenda ya Matukio: Januari – Desemba

           Mwezi                   Tukio/Matukio                       Maelezo/wahusika
           Januari       Kufungua shule, muhula wa kwanza      •  Walimu na wanafunzi
                         Kusajili wanafunzi wapya na kuanza    •  Kidato cha Kwanza
                         masomo                                •  Wanafunzi wanaoendelea
                         Kukagua maazimio ya kazi              •  Mkuu wa shule
                                                               •  Mwalimu wa taaluma
                                                               •  Kamati ya uthibiti ubora ya ndani
                                                               •  Walimu wa masomo husika
                         Kuwasilisha mpango kazi wa idara      •  Wakuu wa idara
                         Vikao vya kamati mbalimbali           •  Wajumbe wa kamati husika
                         Majaribio                             •  Walimu wa masomo
                                                               •  Mwalimu wa taaluma
                                                               •  Wanafunzi
           Februari      Kikao cha bodi ya shule               •  Wajumbe
                                                               •  Mkuu wa shule
                                                               •  Wajumbe waalikwa
                         Ukaguzi wa nukuu za masomo            •  Kamati ya uthibiti ubora ya ndani
                                                               •  Mwalimu wa taaluma
                                                               •  Walimu wa masomo

                         Usajili wa watahiniwa wa Kidato cha   •  Mkuu wa shule
                         Pili na cha Nne                       •  Mwalimu wa taaluma
                                                               •  Walimu wa madarasa Wanafunzi
                                                                  wa Kidato cha Pili na cha Nne
                         Majaribio                             •  Walimu wa masomo
                                                               •  Mwalimu wa taaluma
                                                               •  Wanafunzi
                         Kikao cha bodi na wazazi              •  Wajumbe wa bodi
                                                               •  Walimu
                                                               •  Wazazi
                         Ukaguzi wa shajara za masomo          •  Mkuu wa shule
                                                               •  Mwalimu wa taaluma
                                                               •  Wakuu wa idara





              English for Secondary Schools                              Student’s Book Form Three
                                                  131



                                                                                          17/09/2025   16:34:47
     ENGLISH F3 PB.indd   131
     ENGLISH F3 PB.indd   131                                                             17/09/2025   16:34:47
   133   134   135   136   137   138   139   140   141   142   143