Page 152 - Fasihi_Kisw_F5
P. 152
Fasihi ya Kiswahili kwa Shule za Sekondari
7. Chambua vipengele vya ujumi vilivyotumika katika mashairi mawili
kutoka diwani teule.
8. Waandishi wa tamthiliya wametumia mbinu za kiujumi kutunga kazi
FOR ONLINE READING ONLY
zao. Jadili kauli hii kwa kutumia tamthiliya teule moja.
9. Chambua vipengele vya ujumi katika tamthiliya ya Nguzo Mama.
10. Fafanua vipengele vya kiujumi vilivyotumika katika nyimbo mbili za
taarabu.
Kitabu cha Mwanafunzi 141
Kidato cha Tano
23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 141 23/06/2024 17:54
FASIHI YA KISWAHILI KITABU CHA MWANAFUNZI KIDATO CHA TANO.indd 141