Page 35 - Historiayatznamaadili
        P. 35
     FOR ONLINE READING ONLY
                        Kielelezo namba 4:  Binti akijifunza stadi za ufinyanzi
              Kwa baadhi ya maarifa, watu waliobobea katika stadi inayohusika,
              walitafutwa ili kufundisha vijana stadi hizo. Watu hawa walifundisha
              kwa muda maalumu uliotengwa na jamii. Kielelezo namba 5,
              kinaonesha vijana wakiwa katika mafunzo ya kutengeneza zana
              mbalimbali.
              Kielelezo namba 5: Vijana wakifundishwa kutengeneza zana mbalimbali
                                                   28
                                                                                          06/11/2024   11:29:40
     Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd   28
     Historia ya Tanzania na Maadili STD IV.indd   28                                     06/11/2024   11:29:40
     	
